Ally Kamwe "Simba Watuletee Yule Kocha wa Mamelodi Tumalizane Naye

 

Nichukue fursa hii kuwapongeza sana viongozi wa Simba, wako very very smart, wanaakili wana brain nzuri ya kujua mpira, yule kocha (Benchikha) alishafika mwisho lakini sisi kama Yanga tulifurahishwa na maamuzi ya yule kocha kuletwa kwa sababu tulikuwa na kisasi naye, kwahiyo hawa mabwana kwasababu wako very smart wakatuletea mtu wetu karibu tukamnyoosha vizuri ameondoka hatudaiani naye.

“Niwaombe viongozi wa Simba watuletee yule kocha wa Mamelodi (Mokwena) na yeye tumalizane naye, wakituletea yule mitano tena wakae madarakani,” Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally Kamwe.

Post a Comment

Previous Post Next Post