Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc Ahmed Ally licha ya kufurahishwa na matokeo ya mchezo wa jana dhidi ya Fountain Gate alieleza furaha yake zaidi baada ya Coastal Union na Azam Fc kutolewa kwenye mashindano ya Kimataifa CAF.
“Mafanikio tuliyoyapata hayajaja tu, kushiriki michuano ya kimataifa haitokani na hamu inatokana na malengo na ubora wa timu………Nazungumza na Azam Fc kwanza wamelitia aibu taifa, nimefurahi sana na siwezi kulificha hata kidogo…wasikate tamaa hawapo mbali na mafanikio” Alisema Ahmed Ally.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/8dyj5Ix
via IFTTT