Azam wametupwa nje ya michuano ya CAF Champions league na APR kutoka Rwanda.
Katika Raundi ya kwanza Tanzania tumepoteza nafasi ya mshiriki mmoja.
Kila mtu anaruhusiwa kutoa mtazamo wake,mimi binafsi sikutegemea chochote kutoka kwa Azam.
Kwangu mimi Azam ni timu ndogo ambayo imekosa malengo,timu ambayo wachezaji wake wakikosa Wi-Fi wananuna😄
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CbpFGPx
via IFTTT