Anaitwa Chadrack Issaka BokaC (24) machine ya kupanda na kushuka,hakika huyu ni fullback wa kisasa,siku hizi tunawaita “hybrid-fullback”
Huyu jamaa ana kasi kuliko mbwa mwitu,anaenjoy kupandisha mashambulizi kuliko kula,amebarikiwa miguu mirefu ambayo inamuongezea hatua za kuwapita wapinzani.
Mguu wake wa kushoto una balaa sana,una uwezo mkubwa wa kupiga V-passes,in-swing na out-swing crosses.
Ni ngumu sana kumkaba huyu jamaa🙌
Kuna watu walihoji kwanini Lomalisa kaachwa……sasa nadhani majibu mnayoooo😄
Kwenye dirisha kubwa Yanga walitumia $100,000 (tsh 272,571,900) kukamilisha usajili wake.
By Hansrafael
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/uMgGPQN
via IFTTT