Game kati ya Yanga na KMC imemalizika usiku huu huku Yanga wakiondoka na ushindi wa bao moja lililopachikwa na Maxi Nzengeli, Rais wa Yanga Eng. Hersi Said leo ameonekana akiwa na aliyekuwa Mchezaji wa Club hiyo Fiston Mayele wakiangalia mchezo huo kwa pamoja…hii ina maana kuwa Fiston Mayele na yanga kwa sasa hakuna mauza uza tena, Jini limekimbia
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/5RFfMuC
via
IFTTT