Kamati ya Usuluhishi FIFA imeiamuru Yanga SC imlipe madai yake mchezaji Augustine Okrah USD 24,000 (Tsh 65,684,616) na faini ya USD 3,000 (Tsh 8,210,577) ndani ya siku 30.
Iwapo Yanga itashindwa kumlipa Okrah ndani ya siku 45 basi adhabu kali itawashukia mabingwa hao wa nchi ikiwemo kufungiwa kusajili mchezaji yeyote katika madirisha 3.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XjnLyqR
via IFTTT