SERIKALI YAOMBA KIBALI IPEKUE AKAUNTI X YA BONIFACE JACOB



Serikali imewasilisha Mahakamani maombi mawili likiwemo la kupekua Vifaa vya Kielektroniki na Akaunti ya Mtandao wa X (Twitter) ya Kada wa CHADEMA, Boniface Jacob ili mpelelezi aweze kuvifanyia uchunguzi

Shtaka lingine alilosomewa Jacob aliyewahi kuwa Meya wa Ubungo, maarufu 'Boni Yai', ni kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao, mashtaka ambayo ameyakana

Pia, upande wa Jamhuri umeomba Mahakama izuie dhamana kwa muda. 'Boni Yai' amepandishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Septemba 19, 2024 baada ya kukamatwa jana Septemba 18, 2024.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/AEliSYb
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post