Singida BS Wadai Wamemlipa Mwenda Milioni 140, Afike Mazoezini Haraka

Singida BS Wadai Wamemlipa Mwenda Milioni 140, Afike Mazoezini Haraka


Klabu ya #SingidaBlackStars imesema Beki Israel Patrick Mwenda aliyesajiliwa kwa ada ya Tsh. Milioni 200, alilipwa Tsh. Milioni 140 kabla ya kusaini kwa mujibu wa Mkataba na kiasi kingine kilichobaki (Tsh. Milioni 60) kinatakiwa kulipwa muda wowote baada ya kukamilisha usajili

Taarifa imeeleza zaidi kuwa Klabu itaendelea kufanyia kazi maslahi yake kwa mujibu wa makubaliano, huku Uongozi ukimtaka kuripoti kambini haraka kwaajili ya maandalizi ya ligi inayoendelea

Israel Mwenda alisajiliwa katika Msimu wa 2024/25 na Singida Black Stars akitokea kwa Wekundu wa Msimbazi



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GAear2q
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post