Marehemu Michael Jackson anaendelea kuweka rekodi japo hayupo duniani. Mfalme huyo wa Pop amekuwa msanii wa kwanza kwenye historia kuwa na video 4 za Muziki zilizotoka karne ya 20 na sasa zimefikisha idadi ya views BILIONI 1 kwenye YouTube.
1. Thriller 2. Billie Jean 3. Beat It 4. They Do’nt Care About Us.
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Th30IfF
via IFTTT