Joto La Nani ataenda Kutangazwa Kuwa Rais Mpya Wa Taifa La Marekani linaendelea kuwa kubwa , huku Zoezi la Kuhesabu Kura likiendelea na Vyombo Vya Habari Duniani vikiendelea kuchapisha Matokeo ya Kinyang’anyiro hicho kadri yanavyoendelea kutolewa .
Mpaka hivi sasa Donald Trump na Chama Chake Cha Republican wanaendelea kuongoza kwenye Kura za Urais, Seneti na Magavana dhidi ya Mpinzani Wake Kamala Harris . Kwenye Kinyang’anyiro Cha Urais Trump mpaka hivi sasa amepata 'Popular Votes ‘ 51, 466, 625 ikiwa ni 52.3% Dhidi ya 45, 502 , 228 ( 46.3%) alizopata Kamala Harris na kumuacha kwa Tofauti ya Kura 5,964,397 .
Je, Trump atashinda na Kutangazwa Rais Mpya wa Taifa Hilo ?
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/kFW0mK2
via IFTTT