Nassreddine Nabi amewaambia matajiri wa Kaizer Chiefs kua anahitaji huduma ya Feisal Salum na Pacome Zouzoua wachezaji wanaocheza klabu za nchini Tanzania.
Kuhusu Pacome Zouzoua anashindwa kuongeza mkataba na klabu ya Yanga kutokana na ofa kubwa aliyoletewa na Kaizer Chiefs yenye makao yake Afrika Kusini.
Klabu ya Yanga imejaribu kadri iwezavyo kumshawishi Pacome Zouzoua aendelee kusalia klabuni hapo lakini amegoma amataka mshahara mkubwa angalau unaofanana na ambao amehaidiwa na Kaizer Chiefs.
Kuhusu Feisal Salum alizungumza na kocha Nassreddine Nabi alivyokuja kuitembelea klabu ya Yanga miezi iliopita lakini mission ya Nabi kuja Tanzania sio kutalii bali alikuja Tanzania kuwashawishi Pacome Zouzoua na Feisal Salum.
Ifikapo dirisha dogo la usajili Feisal Salum na Pacome Zouzoua wote kwa pamoja au mmoja wapo atatimkia Afrika Kusini kujiunga na Kaizer Chiefs
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/KS1BRyf
via IFTTT