Moja kati ya washambuliaji ambao walisumbua kipindi Cha usajiri hapa nchini Tanzania ni Price dube alivyotoka Azam kwenda Yanga na Kylian Mbappe alivyotoka PSG kwenda Real Madrid watu wengi waliamini watafanya mambo makubwa sana kutokana na viwango vyao na timu kubwa walizojiunga nazo.
Lakini mpaka Sasa wamekuwa na kiwango hafifu ikiwa ligi zote zinakaribia kufungua dirisha dogo la usajiri.
Je, unadhani washambuliaji Hawa wanafeli wapi Kwa Sasa ?
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/OfudIxK
via IFTTT