Huyu jamaa Mohamed Hussein ni Somo nzuri kwa Vijana Wakitanzania wanaokua katika hiki kiwanda cha Football , kuna nyakati alidondoka katika maisha ya mpira wa miguu lakini hakukata tamaa na akapambana na kuinuka
Leo hii miaka 28 lakini bado upambanaji unazidi kila siku plus Physical level ni kubwa sana , yani kujituma na Nidhamu ya hali ya juu sana , bado anapanda na kushuka ‘ Athleticism ‘ si tu katika mechi ya Taifa Stars dhidi ya Guinea hadi ngazi ya klabu
Beki wa kushoto mwenye historia yake , mwenye umakini wake + asiyekumbatia makosa aisee , Mohamed Hussein ni bonge la Kioo
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/7L2uBDH
via IFTTT