Al Ahly ya Misri Imetangazwa kuwa Klabu Bora ya Mwaka 2024 CAF Awards


Al Ahly ya Misri imetangazwa kuwa Klabu Bora ya Mwaka 2024 kwa mara ya pili mfululizo ikithibitisha ubora wake Barani Afrika na kimataifa ambapo Tuzo hiyo iliyotolewa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) inakuja baada ya Al Ahly kuonyesha kiwango cha juu katika mashindano mbalimbali ikiwemo kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Klabu hiyo imeendelea kuwa mfano wa mafanikio ikiimarisha nafasi yake kama moja ya Klabu zenye historia kubwa na mafanikio ya kudumu katika soka la Afrika.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3RmEivp
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post