BREAKING: Hitilafu Gridi ya Taifa, Mikoa Kadhaa Yakosa Umeme



Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuwa kumejitokeza hitilafu katika Mfumo wa Gridi ya Taifa leo December 18,2024 saa 06:12 usiku huu na kupelekea Mikoa inayopata umeme katika Gridi ya Taifa kukosa umeme.

TANESCO imesema “Timu ya Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kurejesha huduma ya umeme katika maeneo yote yanayokosa huduma ya umeme, Shirika linawaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza”


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/EOpvyY3
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post