Miguel Gamondi Kusajiliwa Klabu ya AS FAR Rabat

Miguel Gamondi Kusajiliwa Klabu ya AS FAR Rabat


Klabu ya AS FAR Rabat 🇲🇦 imefikia makubaliano na Miguel Gamondi (58) 🇦🇷 kuwa Mkurugenzi mpya wa Michezo.

Lengo ni kuboresha utendaji wa klabu ya AS FAR Rabat katika mashindano ya kitaifa na kimataifa

Miguel Gamondi aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 🇹🇿.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XFi2xOK
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post