"Rasmi sasa,uwanja wa Kmc Stadium umeingia kwenye viwanja vilivyotumika kusababisha Hat-trick Tanzania,ambapo Prince Dube ameweka Historia ya kufunga mabao matatu (hat-trick) mwenyewe tangu uwanja huo uanzishwe rasmi na manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam."
"Kitaalamu unaweza kusema Virginity ya uwanja hamna tena😅"
Anasema Mchambuzi @princendosi17
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/aZ2oFTl
via IFTTT