Tabora United Waipasua Azam Kama Yanga, Makambo Aibuka Shujaa

 

Tabora United Waipasua Azam Kama Yanga, Makambo Aibuka Shujaa

Mshambuliaji wa Tabora United,Herithier Ebenezer Makambo amepeleka kilio huko mitaa ya Chamazi baada ya kufunga magoli mwili yaliyozamisha Azam FC kwenye mzinga wa asali huko kwenye dimba la Ally Hassan Mwinyi. Hakika sasa ni Kila anae pita mbele ya Tabora United lazima Ang'atwe na nyuki



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Y4P9ust
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post