Vinicius Junior Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia ya FIFA 2024



Winga wa Kimataifa wa Brazil na Klabu ya Real Madrid ya Hispania Vinicius Junior (24) ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia ya FIFA 2024.

Vinicius ameshinda tuzo hiyo akimshinda Mshindi wa Ballon d’Or Rodri, Vini ameiwezesha Real Madrid kushinda UEFA Champions League na Ligi Kuu ya Hispania (LaLiga).

Tuzo ya aliyoshinda Vini imeandaliwa na FIFA na kupigiwa kura na Makocha na Wachezaji pia


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/xpPXhs4
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post