Rais wa Yanga Hataki Michezo Sakata la Mzize, Huna Bilioni 3.5 Pita Kule


12 Ramp Assistants II at Air Tanzania



RAIS WA YANGA

“Thamani ya Mzize ni Bilioni 3.5 kama Kuna Timu wanamtaka walete hizo Fedha Wydad Walileta ofa ya Billion 1.3 tumekataa na Kuna Timu kutoka ubelgiji wao wameleta Bilioni 1.8 tumewaambia waongeze pesa maana ni ndogo tuna Mkataba na Mzize hadi 2034”


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bdUZID5
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post