Wanigeria Washangazwa na Uwanja wa Rwanda (Amahoro)


Wanigeria Washangazwa na Uwanja wa Rwanda (Amahoro)


Mashabiki wa soka nchini Nigeria wameonyesha kushangazwa na uzuri wa Uwanja wa Amahoro wa nchini Rwanda wakati ambapo timu yao ya Taifa ya Nigeria ikicheza na Rwanda kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia

Mashabiki hao wamesema uzuri wa Uwanja wa Amahoro ni kama yalivyo majengo ya Las Vegas Marekani na hawakutegemea kuona hili Afrika

Amahoro ni uwanja wa Taifa wa Rwanda wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 45 mara baada ya kufanyiwa marekebisho makubwa yaliyoanza 2022 hadi 2024 yaliyogharimu dollar Milioni 170 za kimarekani .




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Mip2Q10
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post