Nafikiri kocha wa Simba “(Fadlu Davids) alifanya home work yake vizuri dhidi ya Al Masry : machuguzi ya kikosi yalikuwa sahihi , plan aliyoingia nayo ilikuwa perfect …. Kivipi ?
✍️ Simba hawakubadilisha aina ya uchezaji wao kutoka mchezo wa kwanza na muundo wa 4-2-3-1 lakini safari hii walifanya vitu vya kimsingi zaidi hasa nyakati wakiwa na umiliki wa mpira :-
1: Walikuwa idadi nzuri ya wachezaji eneo la mbele huku wakipata machaguo mazuri ya kupasi mpira .
2: Uharaka wa maamuzi pale wanakuwa na mpira . Fanya mpira utembee kwa uharaka .
3: Runners wengi eneo la mbele …. Kuifungua block ya Masry ambayo walikuwa na muundo wa 5-3-2 bila mpira .
4: Bila mpira wanaweka presha vizuri kwenye mpira na kwa mpinzani .
✍️ Baada ya hapo ni Simba watafanya nini kupunguza idadi ya magoli huku mda mwingi wakiwafanya Masry kukosea pasi wakati wa build up , waliwalazimisha watumia mipira mirefu ambayo Simba walishinda wao wa kwanza + idadi ya wachezaji wa Al Masry kwenye eneo la mbele ilikuwa ni ndogo .
NOTE:
1: Ellie Mpanzu “Baller” : Physically , Utulivu + Decision Making 🔥
2: Dese Mukwala 🔥 Runs , Toughness 💪🏿 and finishing ✅
3: Deghmoum anajua sana boli 🔥
4: Kapombe kacheza game nzuri .
5: Moussa Camara kwenye Penalti 🙌
FT : Simba 2-0 Al Masry (Agg 2-2 …. Pen 4-1)
By Kelvinrabson
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vSaCDXp
via IFTTT