Mastaa Wakubwa Waliopost Sana Instagram Mwaka 2025

Mastaa Wakubwa Waliopost Sana Instagram Mwaka 2025


Ifuatayo ni orodha ya Wasanii wakubwa 10 Tanzania pamoja na idadi ya Post walizo-post kwenye ukurasa wao wa Instagram kwa mwaka 2025, yaani kuanzia Januari 1 2025 mpaka leo Februari 14 2025.

1. Rayvanny ...................277

2. Nandy ........................105

3. Wema Sepetu.............101

4. Alikiba.........................98

5. Hamisa Mobetto .......77

6. Jux..............................44

7. Harmonize.............. ...29

8. Ommy Dimpoz........ ...31

9. Zuchu..........................09

10. Diamond Platnumz...08

Kulingana na utafiti huu, Rayvanny ndiye Star wa bongo anayependa ku-post mara nyingi zaidi, huku Diamond Platnumz ndiye Msanii ambaye hapendi ku-post vitu vingi kwenye ukurasa

By Hope Tyga 



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/49DY6Kp
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post