Mnyama, Simba Sc Amekubali Kichapo Kitakatifu Kutoka kwa Mafarao




Mnyama, Simba Sc amekubali kichapo cha 2-0 ugenini dhidi ya Al Masry ya Misri kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) katika dimba la Suez Canal, Ismailia, Misri.

Mchezo wa marudiano utakaopigwa Aprili 9, 2025 utaamua timu itakayokata tiketi ya nusu fainali ya CAFCC.

FT: Al Masry 🇪🇬 2-0 🇹🇿 Simba Sc

⚽ 16’ Deghmoum

⚽ 90+1’ John

FT: Asec Mimosas 🇨🇮 0-1🇲🇦 RS Berkane

⚽ 75’ Riahi

FT: Constantine 🇩🇿 1-1 🇩🇿 USM Alger

⚽ 29’ Temine

⚽ 73’ Mondeko Zatu



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/8ntkTzQ
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post