Kwenye picha ni Elie Mpanzu na wing-back wa Al Masry Ahmed Eid,ukiacha na mechi mbili za Simba na Masry basi kulikuwa na mechi nyingine ya hawa jamaa wawili.
Mechi ya kwanza kule Misri,Mpanzu alimpika Eid kama mtoto mdogo ndani ya dk 45 za kwanza.
Leo Eid amepiga zote 90 ila nina uhakika utatakiwa kumeza panadol ili kuondoa maumivu.
Guys! Mpanzu ni zawadi kutoka mbinguni,kasi yake,turns zake na uwezo wake wa Generate power ya kupiga mashuti ni wajuu sana✍️
Ni ngumu kumzuia Mpanzu kwenye 1v1,akikupiga mgongo ni bora uachane nae au ukodi piki piki.
Simba wamepita ila Mpanzu amewavusha🔥
from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UdbW8DL
via IFTTT