Yanga Kumjengea Nyumba Fei Toto Akikubali Kurejea Yanga....



Kitu pekee ambacho Yanga SC wameoffer cha ziada kuwazidi Simba SC ni ahadi ya kumjengea nyumba kwenye kiwanja chake cha Dodoma na kwenye hizi siku 3 Yanga SC wameongeza kasi sana kwenye harakati zao za kutaka kumrejesha the real MVP JANGWANI.

Kama Feisal akiwa tayari Yanga SC wapo tayari kuweka hela hata leo then wamalizane na Azam FC kwenye ile Buyout Clause na huhitaji Elimu ya kurusha Ndege kuelewa kwanini Yanga SC wameongeza kasi sana kwenye hizi siku 3 bado Simba SC wana Advantage kwa sababu Feisal bado anana ndo team Pekee amebakisha kucheza nchi hii na mama yake mzazi hataki kusikia suala la kurejea tena Yanga SC watatumia vizuri hii Advantage walionayo kumaliza hii Dili


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Fc4tXbO
via IFTTT

Post a Comment

Previous Post Next Post